Yani wanakijiwe jana mi nmeweka mkeka wasafbet ilkua ni Bayern Munich, Manchester united na Manchester city wote walikua na ods kubwa et nmesubir mkeka wote wameshinda alaf mancity ndo amepoteza 4-3 Sasa najiulz ni mancity gani iyooooooo mbn kama nimepigwa