Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
56
54
5
Dar Es Salaam
Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.

Kuna wachezaji ambao hawastahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wachezaji hao ni;

Balua,Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui kupita),

Ahoua: ( huyu mvp wa Ivory coast nahisi tulipigwa ni mvivu halafu ubunifu ni mdogo sana)

Mutale: ( huyo ni Saidoo aliyechangamka, papara nyingi halafu zero output).

Kwa kuwa matokeo ya uwanja wa mkapa marudiano ni kufa na kupona: kivyovyote vile simba itatakiwa ifunge magoli ili kusonga mbele hivyo nitashauri kuanza na double strikers (10. Ateba, 9. Mukwala)

Ateba atacheza kama 10 ili kuongeza nguvu ya viungo wengi katika mechi hiyo huku nyuma yake watakuwepo viungo wawili (6. Yusuphu Kagoma, 8. Deborah Fernandez)

Formation ya 4:4:1:1

Hapo mwarabu anapigiwa mchaka mchaka mwanzo wa mchezo hadi mwisho wa mchezo.

KIKOSI.png
 
Ahmed

Mgeni
Aug 20, 2024
6
1

View attachment 1558
Kipo fresh mwng ata Ile match kapombe akutakiwa kumalza alitakiwa kijili na kibu waingie pamoja ila ndo ivo nana
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

kagoma Fernandez

Mpiga Chabo
Aug 19, 2024
7
1
0
S
Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.

Kuna wachezaji ambao hawastahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wachezaji hao ni;

Balua,Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui kupita),

Ahoua: ( huyu mvp wa Ivory coast nahisi tulipigwa ni mvivu halafu ubunifu ni mdogo sana)

Mutale: ( huyo ni Saidoo aliyechangamka, papara nyingi halafu zero output).

Kwa kuwa matokeo ya uwanja wa mkapa marudiano ni kufa na kupona: kivyovyote vile simba itatakiwa ifunge magoli ili kusonga mbele hivyo nitashauri kuanza na double strikers (10. Ateba, 9. Mukwala)

Ateba atacheza kama 10 ili kuongeza nguvu ya viungo wengi katika mechi hiyo huku nyuma yake watakuwepo viungo wawili (6. Yusuphu Kagoma, 8. Deborah Fernandez)

Formation ya 4:4:1:1

Hapo mwarabu anapigiwa mchaka mchaka mwanzo wa mchezo hadi mwisho wa mchezo.

View attachment 1558
Sikubaliani nae hata kidogo ahoua ni mchezaji mzuri Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa ispokuwa inategemeana na mechi SI Kila mechi utamuona kama unavyotaka kwa sababu yeye anafuata maelekez ya mwalim au umemsikia mwalim anasema ahoua hafati maelekez???? Ispokuwa nakuunga mkono kwenye double straika tu
 
  • Like
Reactions: sonwabo18

Mwesiga

Mpiga Chabo
Sep 18, 2024
1
0
0
Hapo kwa kibu aanza kapombe.. kapombe anajua sana kumwaga maji na kupiga V pass..

Mfumo ni mzuri nimeupenda Ahoua akianzia nje itakua poa.
 
kagoma Fernandez

Mpiga Chabo
Aug 19, 2024
7
1
0
Na
S

Sikubaliani nae hata kidogo ahoua ni mchezaji mzuri Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa ispokuwa inategemeana na mechi SI Kila mechi utamuona kama unavyotaka kwa sababu yeye anafuata maelekez ya mwalim au umemsikia mwalim anasema ahoua hafati maelekez???? Ispokuwa nakuunga mkono kwenye double straika tu
Napenda sanaaa watumie 4:3:3 kwa sababu sie hiyo mechi tunahitaji ushindi alafu wale wanajua mpira sio wa kuweka straika mmoja et awasumbue mabeki wale huo ni uongo ulio dhahir maana inatakiwa tujue al ahli tripoli ya zamani sio ya sasa hivi ya sasa hivi ina wachezaji wazuri sio wa kuwawekea straika mmoja lazima tuwape 4:3:3 ndio tutashinda mechi ili wakiwa wanashambulia watakuwa hata na uwezo wa kuweka triangle lakini akiwa mmoja atakuwa anaona mabeki mbele 3 au 2 alafu haoni wakucheza nae itamlazimu atembee na mpira na kuwapita mabeki 3 au wawili sio rahisi kama tunavyoona kwenye TV 🦁
 
kagoma Fernandez

Mpiga Chabo
Aug 19, 2024
7
1
0
Hapo kwa kibu aanza kapombe.. kapombe anajua sana kumwaga maji na kupiga V pass..

Mfumo ni mzuri nimeupenda Ahoua akianzia nje itakua poa.
Haiwezakani ahoua kuanzia nje Ile ni namba 10 inayojua tena Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa embu angalieni hata marudio sema muda mwingine ni maelekez ya kocha ana waambia wachezaji kuwa Leo anataka kushinda au sare maana yake lazima atumie mfumo wa kujilinda lakini akisema hataki sare wala kufungwa lazima mfumo ubadilike chief
 
kagoma Fernandez

Mpiga Chabo
Aug 19, 2024
7
1
0
Haiwezakani ahoua kuanzia nje Ile ni namba 10 inayojua tena Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa embu angalieni hata marudio sema muda mwingine ni maelekez ya kocha ana waambia wachezaji kuwa Leo anataka kushinda au sare maana yake lazima atumie mfumo wa kujilinda lakini akisema hataki sare wala kufungwa lazima mfumo ubadilike chief
Na swala lakumuweka kapombe winga hapana bola kibu
 
@waka20

Mpiga Chabo
Sep 16, 2024
2
0
0
Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.

Kuna wachezaji ambao hawastahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wachezaji hao ni;

Balua,Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui kupita),

Ahoua: ( huyu mvp wa Ivory coast nahisi tulipigwa ni mvivu halafu ubunifu ni mdogo sana)

Mutale: ( huyo ni Saidoo aliyechangamka, papara nyingi halafu zero output).

Kwa kuwa matokeo ya uwanja wa mkapa marudiano ni kufa na kupona: kivyovyote vile simba itatakiwa ifunge magoli ili kusonga mbele hivyo nitashauri kuanza na double strikers (10. Ateba, 9. Mukwala)

Ateba atacheza kama 10 ili kuongeza nguvu ya viungo wengi katika mechi hiyo huku nyuma yake watakuwepo viungo wawili (6. Yusuphu Kagoma, 8. Deborah Fernandez)

Formation ya 4:4:1:1

Hapo mwarabu anapigiwa mchaka mchaka mwanzo wa mchezo hadi mwisho wa mchezo.

View attachment 1558
Kaka una akili kwel mwanangu
 
arabi hamza dua

Mpiga Chabo
Sep 18, 2024
4

I
1.kamara
2.kijili
3.zimbwe
4.hamza
5. Chemalon
6.auh
7.mutale
8.debolo
9.Ateba
10.mukwala
11. Balua
 
Sparrow

Mpiga Chabo
Jul 21, 2024

Mi naona wachezaji wengine wapo vizur ila nahisi upande wa kapombe na mutale wangeanza nje alafu mutale aingie baadae watu wamechoka inaweza leta impact kubwa na upande wa ahoua yule jamaa yuko vizur ni kwamba anapewa majukumu makubwa uwanjani yanasababisha kuonekana hajui kitu