Search results

  1. N

    Tusanue Hapa Utapeli Mpya Unaoujua Tujilinde Nao Mapemaaa

    Kuna hii kampuni inayojiita UNICEF foundation aisee Kila mtandao wakijamii wametamba Sanaa kusambaza link zao unatumiwa kias Cha fedha kama sh.2500000 ,halaf unaambiwa ulipie ada ya sh.250000 ili upate promotion hiyo na ukisha lipia ada hiyo aiseee sjui utamlilia Nan Kwa kutapeliwa
  2. N

    Tusanue Hapa Utapeli Mpya Unaoujua Tujilinde Nao Mapemaaa

    Daaa aisee me nilitapeliwa kwasababu nilikua Bado Sina uelewa na mambo haya na walikua wakinipa maelekezo kabisa na mm bila kujitambua nilifanya na kwabahati mbaya kabisa shiling elfu kumi ilienda na nilipojaribu kuwapigia simu aisee nilikua nilikipewa matusi tu lakin Hadi Leo hii ninauelewa na...
  3. N

    Tusanue Hapa Utapeli Mpya Unaoujua Tujilinde Nao Mapemaaa

    🥱🥱🥱👆