Search results

  1. M

    Umelioanje Kundi Alilopangwa Yanga? Una Maoni Gani Mwana Kijiweni?

    Mazembe wanaitaka Robo, Al Hilal wanaitaka pia. Kwa maoni yangu Uto WANATAKIWA kusimamia kucha hili kundi timu zote Zina uzoefu na mashindano haya ya Africa. Uto wakija na spirit ya msimu Jana wanatoboa ila tukiwapa uvimbe wakajiona wamemaliza kabla tutadhalilika.
  2. M

    Umelionaje Kundi Alilopangwa Simba? Una Maoni Gani Mwana Kijiweni?

    Simba inatakiwa kusimama katika misingi ya Soka, Kila timu inataka kuvuka hakuna timu MBOVU kiasi cha kuzishinda kwenye media. Simba IKAZE dharau imeleta sare na Coastal