Umelioanje Kundi Alilopangwa Yanga? Una Maoni Gani Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
344
473
25
Klabu ya Yanga ambayo ni wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika wamepangiwa kundi A ambapo watakutana na


TP Mazembe
Yanga Sc
Al Hilal Sc
MC Alger

1000357071.jpg
 
Last edited:
  • Like
Reactions: Bizzy and *Daniel*

Enck

Mgeni
Sep 18, 2024
12
2
5
kwa kundi la yanga kikubwa dua tyu wachezaji wetyu wasipatwe na majeruhi kila kity tutaongea uwanjani.baad ya dakik 90 za makundi.kuisha
 
  • Like
Reactions: *Daniel*

Mnakane Sr.

Mgeni
Oct 7, 2024
2
1
5
Mazembe wanaitaka Robo, Al Hilal wanaitaka pia. Kwa maoni yangu Uto WANATAKIWA kusimamia kucha hili kundi timu zote Zina uzoefu na mashindano haya ya Africa.
Uto wakija na spirit ya msimu Jana wanatoboa ila tukiwapa uvimbe wakajiona wamemaliza kabla tutadhalilika.
 
  • Like
Reactions: Enck