Search results

  1. B

    Uchaguzi Huru Na Haki Hauwezi Kamwe Kufanyika TFF Ikiwa Karia Atakuwa Anagombea

    😅😅😅 katiba inasemaje kuhusu ukomo wa kugombea...hiyo moja mbili sheria na taratibu za uchaguzi zinasemaj mpka mhusika apewe nafas ya kugombea awe na sifa zipi (vigezo).
  2. B

    Halftime Tanzania 0 DR Congo 0 | Nini Kifanyike Kipindi Cha Pili?

    Coach ampuzishe either mzize au kibu aingie seleman mwalimu asimame pale tisa awanyime uhuru kina inonga ...Alf lusajo nae anahitaji usaidiz wa kimawazo anapoteza sana mipira.
  3. B

    Panga Kikosi Chako Hapa Cha Leo Tanzania vs DR Congo | Matokeo Yatakuaje Leo?

    Kikos 1-A.salimu 2-Job 3-m .hussein 4-Bacca 5-mwamnyeto 6-mtasingwa 7-kibu 8-mudathir 9-S.Mwalimu 10-Feisal 11-samata Pindi tunashambulia 3-4-3 Tukizuia....4-5-1