Search results

  1. U

    FT : Coastal Union FC 0 Yanga SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwananchi Wa KIJIWENI?

    Tunawez sema mara nyingi ushindi wanaaopata so kwa muunganiko wa timu ila ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kwa lugha nyepesi ni kwamba gamond kikosi kimemshinda maan ile team ina mastaa wengi ko kila mtu anataka aoneshe uwezo wake so wacheze kwa team spirit 💯🤔
  2. U

    FT : Coastal Union FC 0 Yanga SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwananchi Wa KIJIWENI?

    Yanga wanacheza, wanashinda ila mpira wao ni mgumu sana kama juventus miaka ile, kama atletico madrid namna vyenye wanacheza, hawavutii kuwatazama ila wanapata matokeo tofauti na msimu uliopita unafungwa na mpira unapigia