FT : Coastal Union FC 0 Yanga SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwananchi Wa KIJIWENI?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
363
492
25
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Coastal Union Dhidi Ya Yanga umemalizika kwa Wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 Kwa 0 lililofungwa na Jean Othos Baleke

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwananchi Wa KIJIWENI?
 
  • Like
Reactions: Enck Jr

uhadi98

Mgeni
Oct 26, 2024
2
4
5
Yanga wanacheza, wanashinda ila mpira wao ni mgumu sana kama juventus miaka ile, kama atletico madrid namna vyenye wanacheza, hawavutii kuwatazama ila wanapata matokeo tofauti na msimu uliopita unafungwa na mpira unapigia
 
  • Like
Reactions: Enck Jr and Wis

uhadi98

Mgeni
Oct 26, 2024
2
4
5
Tatizo kubwa wanaingia na ushindi. Timu zote zinamwogopa .. kwahiyo wanacheza kupata ushindi wao na sio kucheza mpira mzuri.
Tunawez sema mara nyingi ushindi wanaaopata so kwa muunganiko wa timu ila ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kwa lugha nyepesi ni kwamba gamond kikosi kimemshinda maan ile team ina mastaa wengi ko kila mtu anataka aoneshe uwezo wake so wacheze kwa team spirit πŸ’―πŸ€”
 
  • Like
Reactions: Enck Jr and Wis

Enck Jr

Mpiga Chabo
Oct 22, 2024
4
0
0
Singida
Muhimu point 3 mpaka tutaukuta tyu ubingwa wetu tunaoutetea tareh 30 hao singida tuwatoe kileleni tukae mababazao Young Africansi Daima Mbele ubingwa tutachukua mwaka huu matokeo siku zote haijalish ningap ni matokeo tyu kikubwa kushinda na so kupoteza
 

Chiso_1man

Mpiga Chabo
Oct 26, 2024
1
0
0
Mchezo ulikuwa wa upendeleo kwa upande Moja, magoli yaliyofungwa ni mawili na yote yalikuwa offside, ila kwa kuwa timu Moja ndio ilikuwa inatakiwa kushinda ndiomaana goli Moja lilikuwa offside na jingone likawa halali hiyo ndio TZ

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Coastal Union Dhidi Ya Yanga umemalizika kwa Wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 Kwa 0 lililofungwa na Jean Othos Baleke

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwananchi Wa KIJIWENI?
 

Enck Jr

Mpiga Chabo
Oct 22, 2024
4
0
0
Singida
Wamecheza kwakiwango cha kulidhixha ila Kuna kityu kinatakiwa kifanyike ale Mbele katik kutengenez nafas za magoli goli moja no goli lakin kimchezo so goli angalau tuanze kufunga hat 3