tangu lini tabia ndo ikupe tuzo ya uchezaj bora ukaacha kuangalia kiwango. af kulalamika unapohis umeonewa ni kawaida. ronaldo kachukua izo tuzo na huwa analalamikaga ata kufokea marefa akiwa uwanjani
v
Vini alishinda mchezaji bora uefa. rodri akiwepo. Rodri hakuwa ata mchezaji bora kwa city msmu ulopita wote tunajua foden ndo aliibeba timu. Kwa upande wa madrid wote tunajua ndo aliibeba timu kupata mafanikio yote walioipata. vitu viko wazi ivi
kama ishu ni makombe na mafanikio wangempa carvajal. na ka timu ya taifa ina mchango mkubwa kiivo 2010 wangempa iniesta au sneijder. ivo vigezo hawaviangalii ata waache siasa. mpira tunaangalia wote