💥 Marcus Rashford Aweka Rekodi Yake!!!

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
✍🏿 Marcus Rashford Sasa amefunga Mabao 5 ya Ushindi wa mechi akitokea sub Ambayo ni Mengi Zaidi ya mchezaj Mwingine Yeyote Katika Historia ya premier league.

✍🏿 Marcus Rashford pia Sasa amefunga Mabao 12 Katika Premier League akitokea sub,Ni wachezaj Wawili Pekee Katika Historia ya Manchester United waliofunga Mabao Mengi Kuliko Yeye,ole Gunnar solskjaer 17, Javier Hernandez 14.

✍🏿 Rashford pia sasa amehusika Katika Mabao 100 Baada ya BAO Alilofunga Jana Dhidi Ya Wolverhampton Wanderers.

Michezo 220
Mabao 65
Pasi za Mabao 35
 
Attachments

  • FB_IMG_1672570880436.jpg
    FB_IMG_1672570880436.jpg
    44.8 KB · Somwa: 0
  • Like
Reactions: Brenda

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam

My starboy