
Marcus Rashford Sasa amefunga Mabao 5 ya Ushindi wa mechi akitokea sub Ambayo ni Mengi Zaidi ya mchezaj Mwingine Yeyote Katika Historia ya premier league.

Marcus Rashford pia Sasa amefunga Mabao 12 Katika Premier League akitokea sub,Ni wachezaj Wawili Pekee Katika Historia ya Manchester United waliofunga Mabao Mengi Kuliko Yeye,ole Gunnar solskjaer 17, Javier Hernandez 14.

Rashford pia sasa amehusika Katika Mabao 100 Baada ya BAO Alilofunga Jana Dhidi Ya Wolverhampton Wanderers.
Michezo 220
Mabao 65
Pasi za Mabao 35