Embolo mfungaji wa bao la Switzerland Wazazi wake ni wa Cameroon na wanaish nchi hiyo katika kutafuta ugali kwa sasa anaitumikia uswisi mwamba Embolo ambae leo katika mechi hiyo katupia bao mbele ya taifa lake la Cameroon. Switzerland vs Cameroon 1-0
Baada ya kufunga bao hilo alishangilia kwa kunyoosha mikono juu ikiwa ni ishara ya kuomba msamaha.

Baada ya kufunga bao hilo alishangilia kwa kunyoosha mikono juu ikiwa ni ishara ya kuomba msamaha.