AMA KWELI ZAMA HUISHA

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Manchester United imekosa mvuto na hakuna mchezaji mwenye malengo atakuja United ya sasa✍️.

Weghorst sio mchezaji wa kiwango hiko nmemtazama World Cup tena akitokea bench game ya robo fainali akaweka 2 kambani.

Hivi ni kweli United imeshindwa kusajili mtu kama MITROVIC wa fulham??? Shida ni kwamba United imekosa mvuto na ushawishi kwa wachezaji wenye malengo makubwa✍️.

Good progression kwa Erick Ten Hag 🙌 lakiji nawakumbusha tu ikitokea kala vipigo mechi 7 mfululizo msianze kumuona hafai, mnatakiwa mjue ni upepo umegoma.

Weighorst ni mchezaji wa Burnley aliyetolewa kwa mkopo Besiktas 😂Kweli United imefikia level hii???

Burnley waliopo Championship wamemtoa kwa mkopo leo aje kufaa Manchester United????? 6B020280-FFE1-4A73-B9E5-F0DE86904948.jpeg