Manchester United imekosa mvuto na hakuna mchezaji mwenye malengo atakuja United ya sasa
.
Weghorst sio mchezaji wa kiwango hiko nmemtazama World Cup tena akitokea bench game ya robo fainali akaweka 2 kambani.
Hivi ni kweli United imeshindwa kusajili mtu kama MITROVIC wa fulham??? Shida ni kwamba United imekosa mvuto na ushawishi kwa wachezaji wenye malengo makubwa
.
Good progression kwa Erick Ten Hag
lakiji nawakumbusha tu ikitokea kala vipigo mechi 7 mfululizo msianze kumuona hafai, mnatakiwa mjue ni upepo umegoma.
Weighorst ni mchezaji wa Burnley aliyetolewa kwa mkopo Besiktas
Kweli United imefikia level hii???
Burnley waliopo Championship wamemtoa kwa mkopo leo aje kufaa Manchester United?????