Anaandika Ambangile kuhusu Jude wa Dortmund na Jamal wa Bayern Je mtazamo wako ni upi?

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
JAMAL MUSIALA Vs JUDE BELLINGHAM

✍🏻Wote ni viungo washambuliaji , wana uwezo wa kucheza kama namba 10 ( kwenye mfumo wa 4-2-3-1 ) au namba 8 ( kwenye mfumo wa 4-3-3 )

✍🏻Bado wadogo wana umri wa miaka 19 tu kila mmoja , wanaweza kufunga na kutengeneza magoli pia

✍🏻Wote mpaka wanakipiga katika ligi moja ya nchini Ujerumani , Bundesliga ( Jamal - Bayern Munich na Jude - Borussia Dortmund )

✍🏻Mmoja Mjeruman ( Musiala ) na Mwingine Muingereza ( Bellingham )

Kama klabu unayopenda ikisema ina bajeti ya kumsajili mmojawapo kati ya hao wawili unachagua yupi ????

1673959621132.png