JAMAL MUSIALA Vs JUDE BELLINGHAM
Wote ni viungo washambuliaji , wana uwezo wa kucheza kama namba 10 ( kwenye mfumo wa 4-2-3-1 ) au namba 8 ( kwenye mfumo wa 4-3-3 )
Bado wadogo wana umri wa miaka 19 tu kila mmoja , wanaweza kufunga na kutengeneza magoli pia
Wote mpaka wanakipiga katika ligi moja ya nchini Ujerumani , Bundesliga ( Jamal - Bayern Munich na Jude - Borussia Dortmund )
Mmoja Mjeruman ( Musiala ) na Mwingine Muingereza ( Bellingham )
Kama klabu unayopenda ikisema ina bajeti ya kumsajili mmojawapo kati ya hao wawili unachagua yupi ????

Kama klabu unayopenda ikisema ina bajeti ya kumsajili mmojawapo kati ya hao wawili unachagua yupi ????