Anaulizwa Hagreaves kuhusu usajili

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Hagreaves anaulizwa unadhani kwenye dirisha hili United inahitaji finisher mwingine?
Anauliza: Finisher bora kuliko Martial na Rashford? Anamaliza kwa kusema: Sidhani, labda nipate muda zaidi wa kufikiria. Lol
Mmmh ila kupata finisher hili dirisha dogo ni mtihani tusijikuta tunabeba kama Lukaku
 
McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Hagreaves anaulizwa unadhani kwenye dirisha hili United inahitaji finisher mwingine?
Anauliza: Finisher bora kuliko Martial na Rashford? Anamaliza kwa kusema: Sidhani, labda nipate muda zaidi wa kufikiria. Lol
Mmmh hii ni hatari
 
sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Hagreaves anaulizwa unadhani kwenye dirisha hili United inahitaji finisher mwingine?
Anauliza: Finisher bora kuliko Martial na Rashford? Anamaliza kwa kusema: Sidhani, labda nipate muda zaidi wa kufikiria. Lol
Si mnakina masho 😅
 
Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Hagreaves anaulizwa unadhani kwenye dirisha hili United inahitaji finisher mwingine?
Anauliza: Finisher bora kuliko Martial na Rashford? Anamaliza kwa kusema: Sidhani, labda nipate muda zaidi wa kufikiria. Lol
Nakubaliana na yeye Tumemkosa gakpo tumemkosa sesko tuwe wapole tu tusije mpata mtu Kama Lukaku tena