Nadhani issue ya Gernacho kutokuitwa kwenye ile world cup 2022 kila mtu anaongea lake ndiyo maana kazungumza hvyo
Mimi kwa maoni yangu sikuona kama kunahaja ya dogo kuitwa na ukizingatia timu ilikua inaenda kwenye mashindano si kwenye majaribio so inahitaji watu wa kwenda kupambana.
Kuna baadhi ya watu wakawa wanasema kuwa dogo hajaitwa kwasababu hamkubali Messi anamkubali Ronaldo so Messi kakataa dogo asiitwe
Wakati ukiangalia kiuhalisia tu wa mpira dogo ndo kachipukia mwaka jana na si useme kua labda Argentina hawakuwa na wachezaji wa kuwaita wakishindana mpaka wamuite yeye
Ni tofauti na Uruguay ambapo wao sahii imebaki jina tu hawana professional wa kiwango cha juu ndiyo maana hata yule dogo Facundo alipo itwa alienda akapata nafasi ya kucheza si kucheza tu bali kuanza kabisa tofauti na Gernacho pale Argentina