Arsenal bado ni bora kupoteza games ni part ya season..zile game 3 wame drop points ukiangalia ni visababu vya ajabu ajabu tu ..
Jana Arsenal walipaswa kupata 3pts it was do or die, maana Ukiangalia 3 games zilizopita wamecheza against our toughest opponents, so bounce back ilipaswa kufanyika kwa Villa
Walicheza vizuri, waliruhusu magoli kwa individual mistakes Zinny alikosea 1st goal alipoteza mpira on a dangerous area timu ikiwa ime advance waka trigger counter attack..Ollie is so good on finishing..akawamaliza
2nd goal positioning ya timu nzima ilikuwa hovyo.. Villa walianza from behind 3 touches wapo kwenye half yao..inapigwa krosi Buendia ana dash na ndio ikawa killer move..Coutinho akawaua
But Arsenal ipo on form..consistency yao ya kumiliki mpira inakutaka uwe na mapafu ya mbwa kuzuia 90 mins (Everton - Onana, Docoure, Gana) maana..Wakikusaka lazima utaonyesha. Or uwe na players wenye skills ya hali ya juu kucheza low block mechi nzima (kama Brentford)
or uwe na viungo wenye uwezo wa kumiliki mpira na kutengeneza mashambulizi ya hatari (Kama City)
Aston Villa walikaza ila kufika 70th min miguu ilianza kuchoka
na hapo ndipo Mikel akaongeza mafundi uwanjani kupandisha timu zaidi. Tomiyasu, Martinelli, Viera Arsenal akascore 2 goals in Added mins.