Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amesema hana uhakika ni kwa muda gani Gabriel Jesus atakuwa nje ya uwanja licha ya kufanyiwa upasuaji kwa mafanikio.
Jesus aliumia goti katika michuano ya kombe la Dunia akiwa na timu yake ya taifa ya Brazil.
Aliumia katika mechi ambayo Brazil ilifungwa 1-0 na Cameroon.
Alipoulizwa ni lini mchezaji huyo atarejea baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Lyon katika mechi ya kirafiki iliyochezwa Dubai, Arteta amesema;
" Siwezi jua, amefanyiwa operesheni, anaweza kuwa fiti muda wowote,".
Hata hivyo, Arsenal inamtegemea Eddie Nketiah ambaye alifunga dhidi ya Lyon.
Hata Gabriel Martinelli anaweza kucheza nafasi ya mshambuliaji wa kati akihitajika.