Ujio Wa Arsene Wenger Na Uwepo Wa Thierry Henry Vavavooom Na Viongozi Wengine Pale Emirates Haikuwa Jambo La Bahati.
Wale Walikuwa Na Jambo Lao Lengo Ni Kuhakikisha Arsenal Wana Kuwa Mabingwa Wa Premier League.
Kazi Wenger Ilikuwa Kuongea Na Vijana Aliowalea Na Kuwa pandisha Timu Ya Wakubwa.
Thierry Henry Akiwa kumbusha Wachezaj wote Umuhimu Wa Kuvaa Jezi Ya Arsenal.
Ni Wakati Wa Kutembea kifua mbele Sasa bila woga.