Azam Fc vs Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
278
395
25
Hayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa
 
Mr.Ri

Mgeni
May 8, 2024
3
4
5
Aazam IPO Kwny Ubora Mkubw Saana Wakat Huu Lkn Tatzo Lao Hawajui Jinsi Yakuziendea Mechi Kubwa Simba Atapata Matokeo Kwakua Wanajua Kuziendea Mech Hiz But Upo Uwezekan Mkubw Wakumalizik Kwa Sare
 
Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
278
395
25
Aazam IPO Kwny Ubora Mkubw Saana Wakat Huu Lkn Tatzo Lao Hawajui Jinsi Yakuziendea Mechi Kubwa Simba Atapata Matokeo Kwakua Wanajua Kuziendea Mech Hiz But Upo Uwezekan Mkubw Wakumalizik Kwa Sare
ohooooo sema kweli aseeee mechi hizi huwa hazitabiriki kabisa
 
  • Like
Reactions: Hammy36