Una kiamini sana kikosi sioKwamawazo yangu naipa asilimia 55%simba kushinda
Kwa binafisi yanguHayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa
Kwakua DUBE hayupo au?Simba ushindi mnyonge mnyongeni lakni haki yake mpeni
Siyo sababuKwakua DUBE hayupo au?
Sure isinyeshe mvua kuwe ka kandanda safiSimba ikitulia ikaingia na malengo inaweza pata ushindi wa bao 1 au 2 kikubwa nidhamu ya muchezo iwe kubwaa
ohooooo sema kweli aseeee mechi hizi huwa hazitabiriki kabisaAazam IPO Kwny Ubora Mkubw Saana Wakat Huu Lkn Tatzo Lao Hawajui Jinsi Yakuziendea Mechi Kubwa Simba Atapata Matokeo Kwakua Wanajua Kuziendea Mech Hiz But Upo Uwezekan Mkubw Wakumalizik Kwa Sare
Hapo simba anakufa 2-0Hayawahi hayawi hatimaye yamekua na sasa ni wakati wa kujadiliana kuhusu MZIZIMA DERBY una kipi cha kuzungumza kuhusu mchezo huu? Tujadiliane hapa sasa kumbuka kuwa mchezo utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa