Azam FC Yatupwa Nje Na APR Ligi Ya Mabingwa Afrika: Unadhani Kipi Haswa KINAWASUMBUA Matajiri Wa CHAMAZI?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Klabu ya soka ya Azam FC imetupwa nje ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Kwa Idadi ya Magoli 2 Kwa 1 Kutoka Kwa APR ya Rwanda

Tuzungumze kama wapenda S
 

Mascotte Shah

Mpiga Chabo
Aug 24, 2024
2
0
0
Uwekezaji wao ni wa League ya Nyumbani sio wa League ya kimataifa! Wajitahidi wafanye vizuri Ligi kuu tukutane nao mwakani!
 

Jr 097

Mgeni
Jun 21, 2024
10
3
5
Klabu ya soka ya Azam FC imetupwa nje ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Kwa Idadi ya Magoli 2 Kwa 1 Kutoka Kwa APR ya Rwanda

Tuzungumze kama wapenda S
Azam kuna wachezaj wamewasajili cjui kwann wameshndwa kuwaingiza ktk mfumoπŸ€”πŸ€”


Anyway Azam bado wanatafta udhoefu lkn cyo muda wao huu....
 

Claven

Mpiga Chabo
Aug 24, 2024
1
0
0
Azam Cha kwanza beki azipo vizuri Cha pili wanacheza kwakujiachia huku wanajisau. Claven. j . mwankina tunduma town
 

Young Teflon

Mgeni
May 2, 2024
7
3
6
Boko dovya
Klabu ya soka ya Azam FC imetupwa nje ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Kwa Idadi ya Magoli 2 Kwa 1 Kutoka Kwa APR ya Rwanda

Tuzungumze kama wapenda S
Kiukweli azam msimu huu wamefanya usajili mzuri πŸ™ .

Ila sasa katika mahali walipo kosea hasa ni kwenye head coach, kwa mtazamo wangu wakipata mwalimu bora kwahiki kikosi, wanauwezo wa ku compete na kufika mbali.

Anyway usingizi mzito uliowavaa viongozi wa azam miaka mingi nyuma bado ni mzito wanaitaji mabadiliko hasa kiusimamizi ili kubadili vision ya timu na hatimaye kufika wanapo pahitaji.
Good team
 

rama almas

Mpiga Chabo
Aug 24, 2024
1
0
0
Wakubali kujifunza kwa club kubwa kati ya simba na hawa itawasaidia sana lakin wskijifanya wanataka waende wenyewe watashindwa,,,poleni AZAM FC....NA BADO