Azam FC Yatupwa Nje Na APR Ligi Ya Mabingwa Afrika: Unadhani Kipi Haswa KINAWASUMBUA Matajiri Wa CHAMAZI?

aboe

Mgeni
Jul 10, 2024
3
3
5
Mtoni
Azam ni timu nzuri ina wachezaji wazuri lakin kocha bado hajaiweka tim kwenye mfumo mzuri
Inabidi azam msimu ujao watuwache ligi ya mabingwa
 
  • Like
Reactions: josaph

Shija mwininga

Mpiga Chabo
Aug 25, 2024
2
0
0
Hatuwezi kuwalaumu Azam maana hata Simba na Yanga walianza hivyo so wajipange kuisaka nafasi yapili Tena au ubingwa ili wapate Tena nafasi yakushiriki mwakan