Game ya Azam Jana ilikuwa Ni mwendelezo wa Azam kuonyesha kuwa Sasa amekuwa ana team kubwa yenye wachezaji wakubwa
Ameutawala mpira kila eneo hasa pale katikati Akamiko anapeleka mipira mbele unamuona Kipre akipokea mipira mabeki wa Prison wote wanamfata na wakati huo Dube yupo kwenye Boks Nyuma Kuna mabeki wawili lakini hawaangalii hatua za Dube wao wanatazama mpira
Mpira unafika kwa Dube unakuwa rahisi kuwekwa kambani sababu alishakuwa na hatua ambazo mabeki wa Prison hawakuwa na uangalizi.
Bao la Pili pia tunaona linapigwa shuti ambalo kipa anashindwa kabisa kulidaka lile shuti limepigwa mbele ya mabeki na viungo so pale kipa huwezi mlaumu Ila team nzima ya Prison ilizidiwa na Azam wamekuwa kwenye kiwango kikubwa Cha muendelezo wa ushindi
SOPU wa bakharesa hapoi kwenye upachikaji wa magoli hapa usajili wao umelipa