AZAM WAKILIKOSA KOMBE MSIMU HUU NDO BASI TENA

Balyx_

Mgeni
Dec 19, 2022
93
72
5
Azam wamejipanga sana msimu huu kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja. Japokuwa changamoto ni nyingi kutoka upande wa Kariakoo ila naamini kama Argentina wameitwaa WC, basi huu ni msimu wa Azam Football Club kuishangaza Tanzania pia. Kombe Tunalitaka 😀
 
jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90

Azam ipi bro?😁
 
  • Like
Reactions: Balyx_

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131

Simba kashawaacha mnawaza kombe
 
  • Like
Reactions: Balyx_

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Azam wamejipanga sana msimu huu kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja. Japokuwa changamoto ni nyingi kutoka upande wa Kariakoo ila naamini kama Argentina wameitwaa WC, basi huu ni msimu wa Azam Football Club kuishangaza Tanzania pia. Kombe Tunalitaka 😀
Na hata msimu huu ndo basi
 
  • Like
Reactions: Balyx_