Azam wamejipanga sana msimu huu kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja. Japokuwa changamoto ni nyingi kutoka upande wa Kariakoo ila naamini kama Argentina wameitwaa WC, basi huu ni msimu wa Azam Football Club kuishangaza Tanzania pia. Kombe Tunalitaka