Azam wameamka ligi kuu ya NBC

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Azam wameamka tena kwenye ligi wamekua mabigwa watetezi kwa kasi mnoo, mechi 5 mfululizo mpaka sasa hawajapoteza hata moja na ni vinara wa ligi kwa point 29 mechi 13,Simba wakikaa vibaya tu Azam anachukua nafasi yake vile vile Yanga wanapaswa kuendeleza moto ulle ule kwa namna Azam wanavoenenda wanaonesha nia dhabiti yalitaka kombe la NBC. Ni nzuri kuleta ushindani zaidi kwenye ligi yetu ya Tanzania

Pongezi nyingi kocha wa Azam
ef2d89d5-23b9-46b4-9a9d-e35420142558.jpeg