Nasreddine Nabi alifanya mabadiliko madogo kwenye kikosi chake kilichoanza jana na Club Africain ya Tunisia kwenye mchezo wa kuwania kufuzu makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Kumtoa Sure Boy na kuingia Azizi KI.
Mechi hiyo ilileta ushindani mkubwa Katika mabadiliko hayo kiungo Stephane Aziz KI ambaye alianza kwenye kikosi mchezo uliochezwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam na jana kwenye mechi ya marudiano alianzia benchi huku Feisal Salum akirudi kucheza namba yake 10.
Yanga iliingia kwenye mchezo huo ikihitaji ushindi au sare ya kufungana ili kuingia hatua ya makundi baada ya Novemba 9, kushindwa kufuzu ikiwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kufuatia kulazimishwa suluhu.
Azizi KI anafunga goli zuri pasi ikitokea kwa Fiston Mayele aliyoipiga kwa kichwa na kumfikia Azizi KI goli liliyopelekea ushindi kwa YANGA nakupata tiketi yakuingia hatua ya makundi.
Team zilizofanikiwa kuvuka hatua ya makundi ni pamoja na Yanga, AL Akhadar SC, Asfar Club, Real De Bamako, Asec Mimosas, Asko De Cara, DC Motema Pembe, Diables Noirs, FC Saint Eloi Lupopo, Future FC, Marumo Gallants FC, Pyramids FC, Rivers United FC, TP Mazembe, US Monistri.