Baadhi ya watu naona wanamlaumu kocha mpya lakini uongozi a Simba unawajibika kwa 80%

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Baadhi ya watu watakuwa na kazi ya kumlaumu kocha mpya lakini uongozi wa Simba unawajibika kwa asilimia 80+ kwa kushindwa kwao wenyewe

Wao walifanya takribani wachezaji tisa (9) waliosajiliwa majira ya kiangazi iliyopita lakini Phiri pekee ndiye aliyefanya vizuri.

Siwezi kumlaumu Robertinho, ni vigumu sana kumhukumu kocha mpya baada ya mechi zisizozidi 10.

You can't finish a season with 3 different coaches, Simba haikua na matokeoa mabaya sana kihivyo mpaka kufikia hatua ya kuwa na makocha wa 3 ndani ya msimu mmoja.

Mgunda aliwapeleka CCL hatua ya makundi na gap la point kwenye ligi halikua kubwa , it's a poor management nothing else.

1677066311043.png
 

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Tuanzie hapo Phiri did well na ni second top scorer wa NBC PL ila toka amerudi amekuwa wa kucheza dakika 5 mpka 10 . Bodi ya Simba ipo at fault for the most ila as a Coach unaachaje kujua your best and lethal players? Kazi kumpanga Bocco maji ya jioni & Baleke who aren’t clinical
 
  • Like
Reactions: Zawadi

Zawadi

Mgeni
Nov 4, 2022
41
17
5
Mashabiki si hawaelewi football hao ndo waliozomea wakati Chama anafanyiwa Sub Tena season mbili zilizopita sajili nyingi zimefeli Inonga, Kanoute, Sakho na Phiri ndo sajili zilizolipa kwa misimu miwili then utegemee miujiza football ina njia zake na siyo siasa
 

Ally R

Mgeni
Jan 26, 2023
17
2
5
Hii nakubaliana na wewe na walichofeli zaidi ni kuleta kocha mwingine within a season na timu tia maji wakati ilishaclick kwa Juma