Bad day in the office kwa vijana..kwenye mbio za ubingwa hizo setbacks hutokea.
Leo kichowaua ni mfumo anaotumoa Dyche, kuanzia alivoteuliwa kuwa kocha wa Everton wengi walijua game itakuwa ngumu
Ana strong midfielders wawili Gana na Onana hao walitawala kiungo chote wakakata mashambulizi ya Arsenal mazima
Pia individua perfomances za key players wetu hazikuridhisha, Martinelli alikuwa out of game kabisa, Odegaard ndie alipaswa kuwa creative ila yeye ndie alikuwa anapoteza mipira.
Bukayo Saka akawekwa mfukoni na Mykolenko
Lastly ni walitengenza chances kibao ila wakashindwa zitumia. Wamekosa goli nyingi sana, Na cha mwisho ni ile tabia ya timu zote wakipata kocha mpya basi 1st game yao lazima iwe tough. POLENI SANA HIVI MNAJISKIA NDO CHELSEA WANAJISKIA KILA SIKU
EVERTON 1-0 ARSENAL