Best player in the world, The Greatest of All Time. 🐐

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Cristiano Ronaldo baada ya kuweka marekodi na kuchukua kila kitu Ulaya, ameamua kwenda kupumzika Uarabuni na anaendelea kuweka rekodi siku hadi siku!

Best player in the world, The Greatest of All Time. 🐐

1676014748861.png
 
  • Like
Reactions: McRay

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Na malengo mengi ya awali huko Uropa pia, je, mtu mzima alikuwa akicheza dhidi ya watoto? 😒 klabu iliyofunga Ronaldo mwaka jana ilipanda daraja Ligi Kuu ya Saudia, na sasa inashika nafasi ya 13 Usifurahi sana tafadhali 😂✋🏽