jamaa ni mzuri, naamini Nabi na Kaze watautumia uwezo wake kwa manufaa ya Yanga SC
Tuliambiwa vyuma viwili vitatua na nchi itatikisika Leo tukaambiwa chuma cha kwanza Kumbe Mudathir haya tunasubiri chuma cha pili utopolo bana
Sajili kama hii nina imani hatujakurupuka na sio sajili yenye presha kwa mchezaji, the boy has talent, ukiachana na majeraha ni addition nzuri kwenye kikosi, hasa kwa wings zetu hizi ambazo zinashuka na kupanda viwango
Kolo simmetoka kusajili Tramp wenu hapo parkingTuliambiwa vyuma viwili vitatua na nchi itatikisika Leo tukaambiwa chuma cha kwanza Kumbe Mudathir haya tunasubiri chuma cha pili utopolo bana![]()
Kutusumbua kote kule na Mabomu utopolo wanahaha tangu Fei aondokeTuliambiwa vyuma viwili vitatua na nchi itatikisika Leo tukaambiwa chuma cha kwanza Kumbe Mudathir haya tunasubiri chuma cha pili utopolo bana![]()
Fei anaondoka Mnaleta watu wamchangani hahaha utopolo
Kwanini Mauya mnachukulia poa sanaHe's better than Mauya
Ila Bwana mdogo ana uwezo mkubwa wa kumiliki dimba
Naambiwa l Mudhathir hajacheza miezi 6
Sio kucheza, hana timu kwa miezi 6 ila na amini alikuwa anafanya mazoeziNaambiwa l Mudhathir hajacheza miezi 6
Vipi kuhusu fitness yake?
Kiwango chake kiko katika hali gani?
Tumemsajili kwa ‘reference’ ya miezi 6 nyuma?
Natamani kujua
Si alikua na KMC huyoNaambiwa l Mudhathir hajacheza miezi 6
Vipi kuhusu fitness yake?
Kiwango chake kiko katika hali gani?
Tumemsajili kwa ‘reference’ ya miezi 6 nyuma?
Natamani kujua
Sijui kwa nini watu wanamchukulia poa Mauya, ila kuna muda naelewa Uhuru wa maoni.Kwanini Mauya mnachukulia poa sana
Misimu miwili nyuma alikuwa roho safu yetu ya kiwango yeye na Mukoko
Muda huu ambao Feisal hayupo kikosini tunahitaji mchezaji ambaye anaingia kwenye kikosi tusiwe na upungufu mkubwa, kwa local players na quality ya Mudathir ni sawa tu
Mauya ni type ya Himid Mao.Kwanini Mauya mnachukulia poa sana
Misimu miwili nyuma alikuwa roho safu yetu ya kiwango yeye na Mukoko