Brazil vs South Korea 1half

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Watu wanaweza kuona matokeo hayo wakaona mechi sio nzuri, kwangu mimi mechi ni nzuri sana, japokuwa Korea wameshafungwa goli 4 kwa 0, bado nampa sifa kocha wao kwa kuamua ku-take risk kwa kuamua kucheza offensive game.

Hakutaka kuzuia, na alikuwa anafanya high defensive line, na timu haipotezi shape yake, ikiwa inashambuliwa au kushambulia.

So far makosa ya ni kupoteza mipira unnecessarily.9303E313-5132-45BA-BEF5-B4971B1122D9.jpeg
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Brazil tangu mashindano yameanza, amepata challenge mechi moja tu na Switzerland, hivyo still not giving them a big chance to win this World Cup, in case wanakutana na France or Argentina,

Croatia ni timu nzuri, lakini this tournament sijaona uzuri wao ukilinganisha na last World Cup, hivyo sioni Croatia akiwa kikwazo kwa Brazil.
 
  • Like
Reactions: Capitano