Watu wanaweza kuona matokeo hayo wakaona mechi sio nzuri, kwangu mimi mechi ni nzuri sana, japokuwa Korea wameshafungwa goli 4 kwa 0, bado nampa sifa kocha wao kwa kuamua ku-take risk kwa kuamua kucheza offensive game.
Hakutaka kuzuia, na alikuwa anafanya high defensive line, na timu haipotezi shape yake, ikiwa inashambuliwa au kushambulia.
So far makosa ya ni kupoteza mipira unnecessarily.