Bruno Fernandes ni Playmaker hatari sana

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Ukiangalia buildup ya hili goli utagundua Bruno Fernandes ni playmaker hatari sana Erik Ten Hag anatafuta mshambuliaji tu kwa sasa timu itafunga magoli mengi sana

Halafu huyu kocha wa timu ya Taifa alikuwa anamuweka benchi mechi karibia zote za kombe za dunia.England wakiachana na Southgate wanaweza kuchukua Euro kwa sababu wana kizazi cha vipaji ila hawajapata kocha wa kuwafanya kuwa hatari zaidi.2800E02C-9CB0-4484-8329-A209B878B933.jpegE1C63BF3-4A7E-4930-96B1-BE0C46980FE0.jpeg212C75DB-10B7-4FD7-A938-5A0AAB075C5F.jpeg
 
  • Like
Reactions: Rashidi and McRay

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Ukiangalia buildup ya hili goli utagundua Bruno Fernandes ni playmaker hatari sana Erik Ten Hag anatafuta mshambuliaji tu kwa sasa timu itafunga magoli mengi sana

Halafu huyu kocha wa timu ya Taifa alikuwa anamuweka benchi mechi karibia zote za kombe za dunia.England wakiachana na Southgate wanaweza kuchukua Euro kwa sababu wana kizazi cha vipaji ila hawajapata kocha wa kuwafanya kuwa hatari zaidi.View attachment 897View attachment 898View attachment 899
Moto wa WC hatari sana 🔥🔥
 
Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40
5
Ukiangalia buildup ya hili goli utagundua Bruno Fernandes ni playmaker hatari sana Erik Ten Hag anatafuta mshambuliaji tu kwa sasa timu itafunga magoli mengi sana

Halafu huyu kocha wa timu ya Taifa alikuwa anamuweka benchi mechi karibia zote za kombe za dunia.England wakiachana na Southgate wanaweza kuchukua Euro kwa sababu wana kizazi cha vipaji ila hawajapata kocha wa kuwafanya kuwa hatari zaidi.View attachment 897View attachment 898View attachment 899
Shida yake maji kupwa maji kujaa siyo kama Mbappe