Chama Anasajiliwa Yanga Kwa Ajili Ya Kuuza Jezi Na Kuongeza Tu Umaarufu Wa Brand Ya Yanga

Gamondi

Mgeni
May 27, 2024
18
14
5
Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.

Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha.

Yanga wanapata sifa kupitia mgongo wa Simba kwani kila ikitajwa Simba wao ndio wanasikika Afrika.Ndio maana waliwekeza sana kwenye kuhakikisha wanaifunga Simba kwa idadi kubwa ya magoli,na wakifanya chochote lazima Simba itajwe ila kwa udhaifu.

Hii ni mikakati kwani yanga walijisikia vibaya kuambiwa wao ni timu nzuri ila ni second club kwa Simba.

Sasa vita yao wanataka wawe club namba moja ndani na nje.

Kutokana na udhaifu wa uongozi wa Simba,hili wanafanikiwa kwa kasi sana huku wakisaidiwa na viongozi wa hovyo wa Simba kama yule mzee pandikizi na maswahiba wenzake akina rage na kaduguda wanaoitamani Simba kwa faida za matumbo yao
 
  • Like
Reactions: octavian
May 22, 2024
10
6
5
Tano zikijirudia tena wataanza kusema mbona hata chama alikua wetu kabisa mbona anafunga alafu anashangilia na haombi msamaaha😂😂
 
leinad

Mpiga Chabo
Jun 25, 2024
2
0
0
Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.

Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha.

Yanga wanapata sifa kupitia mgongo wa Simba kwani kila ikitajwa Simba wao ndio wanasikika Afrika.Ndio maana waliwekeza sana kwenye kuhakikisha wanaifunga Simba kwa idadi kubwa ya magoli,na wakifanya chochote lazima Simba itajwe ila kwa udhaifu.

Hii ni mikakati kwani yanga walijisikia vibaya kuambiwa wao ni timu nzuri ila ni second club kwa Simba.

Sasa vita yao wanataka wawe club namba moja ndani na nje.

Kutokana na udhaifu wa uongozi wa Simba,hili wanafanikiwa kwa kasi sana huku wakisaidiwa na viongozi wa hovyo wa Simba kama yule mzee pandikizi na maswahiba wenzake akina rage na kaduguda wanaoitamani Simba kwa faida za matumbo yao
Naona kama Chama kwenda yanga inaweza kua tu mpango wa kuivuruga zaidi simba.
 
maokoto

Mpiga Chabo
Jun 25, 2024
1
0
0
Hawa yanga wanamikakati mikubwa ya ndani kwanza kuliko nje bado sana so kwasasa wanataka kuhakikisha simba amabae ndo mpinzan wake mkuu anakua dhaif kupitia tetesi za usajili,kumfunga mtani, pamoja na kujibrand wawe namba moja east africa na Africa kwa ujumla mda wote ili malengo yao yatimie
 
Magige

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
2
0
0
Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.

Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha.

Yanga wanapata sifa kupitia mgongo wa Simba kwani kila ikitajwa Simba wao ndio wanasikika Afrika.Ndio maana waliwekeza sana kwenye kuhakikisha wanaifunga Simba kwa idadi kubwa ya magoli,na wakifanya chochote lazima Simba itajwe ila kwa udhaifu.

Hii ni mikakati kwani yanga walijisikia vibaya kuambiwa wao ni timu nzuri ila ni second club kwa Simba.

Sasa vita yao wanataka wawe club namba moja ndani na nje.

Kutokana na udhaifu wa uongozi wa Simba,hili wanafanikiwa kwa kasi sana huku wakisaidiwa na viongozi wa hovyo wa Simba kama yule mzee pandikizi na maswahiba wenzake akina rage na kaduguda wanaoitamani Simba kwa faida za matumbo yao
YAWEZAKUWA KWELI MAANA SIO KWAMBA YANGA HAWANA MCHEZAJI AINA YA CHAMA.
 
Wistabby

Mgeni
Jun 22, 2024
20
2
5
Chama kwa class yake anaenda kuongeza ufanisi yanga Mana yanga msimu Jana walikosa backup ya pacome,azizz n.k ila uingiaj wa chama inaa maanisha andongeza kitu kikubwa tuu ila ni pengo kwa mnyama mkali 🙄🙄 sababu Bado hana mbadalaa wake
 
Kijangwa

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
1
0
0
Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.

Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha.

Yanga wanapata sifa kupitia mgongo wa Simba kwani kila ikitajwa Simba wao ndio wanasikika Afrika.Ndio maana waliwekeza sana kwenye kuhakikisha wanaifunga Simba kwa idadi kubwa ya magoli,na wakifanya chochote lazima Simba itajwe ila kwa udhaifu.

Hii ni mikakati kwani yanga walijisikia vibaya kuambiwa wao ni timu nzuri ila ni second club kwa Simba.

Sasa vita yao wanataka wawe club namba moja ndani na nje.

Kutokana na udhaifu wa uongozi wa Simba,hili wanafanikiwa kwa kasi sana huku wakisaidiwa na viongozi wa hovyo wa Simba kama yule mzee pandikizi na maswahiba wenzake akina rage na kaduguda wanaoitamani Simba kwa faida za matumbo yao
Ilo nalo litapita,enzi pia zinapita.muacheni aende wangine wakabiliwe.
Kila nabii na zama zake wakt umeisha
 
Rasheed

Mgeni
Jun 11, 2024
2
1
5
Ndio yanga wamemchukua kwa lengo hilo lkn kwa upande wa chama atapambana ili kujiimarisha na kupata nafasi hapo jangwani pia atafany ivo ili awaoneshe simba sc kwamba yeye ni bora bado