Chama Atamfukuzisha Kazi Gamondi Yanga

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Gamondi ni Kocha mkubwa na anao uzoefu wa kufanya kazi na wachezaji wakubwa,siku zote sisi makocha kwenye timu huwa kuna mchezaji huwa anakuwa kipenzi chako kwakuwa anafanya kitu cha ziada,anatumia akili zaidi hata ya maarifa ya mwalimu,na anakuwa na nidhamu,utajikuta unampenda.

“Sasa kwa Yanga wanao wachezaji wenye vipaji,na wanacheza kwenye maeneo yanayofanana,Gamondi anapaswa asioneshe mapenzi kwa mchezaji anayempe da,atengeneze mpango wa kuwatumia vizuri Aziz Ki,Pacome Zouzoua na Clatous Chama”

“iwapo kuna mmoja atakosa nafasi anaweza kumshushia mmoja kiwango kwa kukosa fitness halafu akajenga chuki kwa Kocha,na hawa Wachezaji wazuri mara nyingi ni vipenzi kwa Viongozi, anaweza kumchongea halafu Gamondi akawa wa kwanza kuondoka”Charles Boniface Mkwasa Kocha na mchezaji wa zamani wa Yanga!
 
Luther

Mgeni
Feb 27, 2024
2
2
5
😂😂hapo bado ligi haijaanza,,ikianza utaona wendawazimu zaidi
Yanga amekuja kupigania namba siyo kule alikokuwa anaombwa kucheza,,huku ni kwingne jombi,,asipopambana anawekwa benchi
Ataondoka yeye siyo Miguel Gamond,,mr Papaa
 
MR. VIP

Mgeni
May 17, 2024
25
3
5
Gamondi ni Kocha mkubwa na anao uzoefu wa kufanya kazi na wachezaji wakubwa,siku zote sisi makocha kwenye timu huwa kuna mchezaji huwa anakuwa kipenzi chako kwakuwa anafanya kitu cha ziada,anatumia akili zaidi hata ya maarifa ya mwalimu,na anakuwa na nidhamu,utajikuta unampenda.

“Sasa kwa Yanga wanao wachezaji wenye vipaji,na wanacheza kwenye maeneo yanayofanana,Gamondi anapaswa asioneshe mapenzi kwa mchezaji anayempe da,atengeneze mpango wa kuwatumia vizuri Aziz Ki,Pacome Zouzoua na Clatous Chama”

“iwapo kuna mmoja atakosa nafasi anaweza kumshushia mmoja kiwango kwa kukosa fitness halafu akajenga chuki kwa Kocha,na hawa Wachezaji wazuri mara nyingi ni vipenzi kwa Viongozi, anaweza kumchongea halafu Gamondi akawa wa kwanza kuondoka”Charles Boniface Mkwasa Kocha na mchezaji wa zamani wa Yanga!
Wao wanasema hawasumbuki watamfukuza oooohhooo
 
manaw 3030

Mpiga Chabo
Jul 9, 2024
2
1
0
Kwel lakn nahomb
Gamondi ni Kocha mkubwa na anao uzoefu wa kufanya kazi na wachezaji wakubwa,siku zote sisi makocha kwenye timu huwa kuna mchezaji huwa anakuwa kipenzi chako kwakuwa anafanya kitu cha ziada,anatumia akili zaidi hata ya maarifa ya mwalimu,na anakuwa na nidhamu,utajikuta unampenda.

“Sasa kwa Yanga wanao wachezaji wenye vipaji,na wanacheza kwenye maeneo yanayofanana,Gamondi anapaswa asioneshe mapenzi kwa mchezaji anayempe da,atengeneze mpango wa kuwatumia vizuri Aziz Ki,Pacome Zouzoua na Clatous Chama”

“iwapo kuna mmoja atakosa nafasi anaweza kumshushia mmoja kiwango kwa kukosa fitness halafu akajenga chuki kwa Kocha,na hawa Wachezaji wazuri mara nyingi ni vipenzi kwa Viongozi, anaweza kumchongea halafu Gamondi akawa wa kwanza kuondoka”Charles Boniface Mkwasa Kocha na mchezaji wa zamani wa Yanga!
Kwel lakin nahomb hy kaz tump mwalim yenye ndio atajuwa namuna ya kuwaweka