CHAMA NA AZIZI K KUFUNGIWA MICHEZO MITATU

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Mchezaji wa Simba, Clatous Chama na Stephane Aziz K wa Yanga wamefungiwa michezo mitatu ya LIGI na faini ya Sh 500, 000 (laki tano).

Sababu za kufungiwa wachezaji hao ni kutokana na kosa la kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani katika mchezo wa Yanga na Simba uliochzwa Oktoba 23 2022 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. ambao mechi hiyo ilimalizika kwa 1-1
Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa uzingativu wa kanuni 41:5 (5.4) ya LIGI kuu kuhusu uthibiti kwa wachezaji baada ya kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) katika kikao cha Novemba 4 kupitia mwenendo wa matukio mbalimbali.
aziz-pic.jpg
 
kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57

View attachment 454
karia
 
Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138

makosa ya hovyo