Chelsea Ni Ile Ile ya msimu huu haijabadirika haitengenezi nafasi haina team work wachezaji wazuri wenye majina makubwa Ila wameshindwa kuwa na form moja
Wanafika kwenye Boks Ila hawatengenezi nafasi za kufunga tumpongeze Ward Mana ikitokea faulo kwa Southampton huyu jamaa amekuwa Kama hiyo mipira kazaliwa nayo anafunga tu hizo faulo.
Kocha wa Chelsea nitamlaumu kushindwa kuifanya team itengeneze nafasi za kufunga hawatengenezi wanafika mbele sio kwa Ile munkari ya kwenda kushinda Ila wanasogea na kurudi Hakuna zile nafasi ambazo zingewapa magoli.
Chelsea haiko imara Idara zote kila mchezaji anacheza anachokijua nikama team isiyo na Mwalimu.