Dau La Pauni 37m Na Ongezeko La Mpaka Pauni 50m.
The Man Is Electric
Ana Uwezo Wa Kucheza Kwenye Winga Wa Kushoto Na Kulia Kwa Ubora Mkubwa,Pia Anaweza Akacheza Kama Namba 10.
Klopp Anaendelea Kuboresha Kikosi Chake Kama Diaz Na Jota Wakirudi Klopp Anakuwa Na Machaguo Mengi Sana Eneo La Mbele.
NB;Kwa Sasa Liverpool Wamebakiza Kuongeza Nguvu Kwenye Eneo La Kiungo.