Liverpool hawataki kabisa kukubali kwamba £100m walizozitoa zilienda buree kabisa. Namfananisha na Chamack wa Arsenal enzi zile 😂