Mpira Burudani Kwa NgazinYa Vilabu Umerejea ,Magoli 5 Ya Haraka Haraka Na Usiyoyatarajia,migongano Ya Wachezaji Pamoja Na Nafasi Za Wazi Zilizokoswa.Huenda Magoli Yangekuwa Mengi Zaidi Ya Yaliyopatikana.
Ni Kama Vile Miili Na Akili Ya Wachezaj Ipo Likizo Hivi Ila Kwetu Watu Wa Mpira Burudani Tume-enjoy.
Haaland Na De Bruyne Wameaanzia Walipoishia Salah Pia.Mwanetu Darwin Nunez Mmh.Haeleweki Awekwe Upande Upi.Nafasi Alizokosa Inafikirisha Sana..!