DERBY YA SUDAN Kupigwa Bongo Azam Complex ( AL HILAL vs AL MARREIKH

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
56
54
5
Dar Es Salaam
Juni 27,2024 katika uwanja wa Azam Complex kutakuwa na mchezo wa kombe la Sudan (Sudanese super Cup) ambao utazikutanisha timu za Al Hilal Omdurman dhidi ya Al Marreikh zote za Sudan.

Klabu hizi kwa sasa zote zipo Tanzania ambapo mbali na mchezo huu zinajiandaa kushiriki michuano ya Kagame ambayo itafanyika huko Zanzibar mwezi Julai 2024.

Hii ni Derby ambayo kwa Mara ya kwanza itapigwa hapa Tanzania wakati huu ambao Sudan Imekumbwa na machafuko.

Al Hilal wanafanya mazoezi yao katika viwanja vya JMK Park kidongo chekundu huku Al marreik wakifanya mazoezi yao katika uwanja wa Azam Complex.
 
NGUVUMALI

Mgeni
May 20, 2024
26
7
5
Slavius nguvumali

Mimi kama Mimi nafurahi sana kusikia Tanzania 🇹🇿 ndio nch inayoweza kuonakilio Cha nch nyingine na kuisaidia vitu mbali mbali watanzania tusibaki nyuma tujitokeze kushangilia na kuwatia moyo wasahau machafuko ya kwao sudan au wewe unaonaje admin
 
isack

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
1
0

Kweli nchi Pekee inayojali vilio vya nchi Jila i
 
yonathan

Mgeni
Jun 23, 2024
10
3
5
Nikweli ni kitu ninacho ipandisha hadhi Tanzania hususani kwenye secta ya michezo ukarimuwetu ni muhimu saana kwenye mchezo huo Kwan KUPITIA mchezo huo kutafanya watu mbali mbali kutoka nchi mbali mbali kuzidi kupenda ligi yetu.pongezi kwa TFF Kwan kuonesha kuwajari ndugu zetu wa sudan
 
  • Like
Reactions: faustine de pol

PUTIN

Mgeni
Jun 22, 2024
3
2
5
Wajaee tuu ila wasiije na mabom yaoo
 
Attachments

  • 881cadddcf6a8cfe55a9fb3a96c16973.jpg
    881cadddcf6a8cfe55a9fb3a96c16973.jpg
    208.2 KB · Somwa: 0

omari omari

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
2
0
0
Tanzania nia ni ichi ambayo aina ubaguzi maana kijiji ninacho ishi mimi ni kambi la wageni ambayo walipewa wajiifazi adi vita itakapo pungua msumbiji wakaweka makazi baada ya kupungua wakafwata nawengine wakagoma kuludi tupo nayo adi kesho
 
faustine de pol

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
7
0
0
Nikweli ni kitu ninacho ipandisha hadhi Tanzania hususani kwenye secta ya michezo ukarimuwetu ni muhimu saana kwenye mchezo huo Kwan KUPITIA mchezo huo kutafanya watu mbali mbali kutoka nchi mbali mbali kuzidi kupenda ligi yetu.pongezi kwa TFF Kwan kuonesha kuwajari ndugu zetu wa sudan
Ni kweli kabisa kwani pia inajenga picha nzuri tuzidi kuonyesha upendo soka juuu, Love 🇹🇿 football welcome too❣️