DR Congo vs Tanzania | Panga Kikosi Chako Cha Ushindi Leo Hapa Na Matokeo Ya Mwisho Itakuaje?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
344
473
25
Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
 
  • Like
Reactions: Niceboe

Malimi

Mpiga Chabo
Oct 10, 2024
1
0
0
Tuiombee Taifa star ishinde au indraw ili tusonge mbele nasi tumedharauliwa mno Hawa ngoxi nyeupe
 
John1554

Mpiga Chabo
Oct 10, 2024
1
0
0
Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
1.Salim
2.Job
3.Tshabalala
4.Hamza
5.Baka
6. Mao
7.Msuva
8.Mudathri
9.Samata
10.Fei Toto
11.Baluwa
 
Libravo

Mgeni
Jul 18, 2024
5
1
5
Dar es salaam
1. Ally Salim
2. Job
3. TShabalala
4 Bacca
5 Mwamnyeto
6 Novatus
7. Himid mao
8. Fei
9. Kachwele
10. Sammata
11. Gen Z

Tukipoteza mje kunichuna ngozi