Droo ASFC Hii hapa Azam Sports Federation Cup ambapo Yanga itacheza dhidi ya Kurugenzi FC, Simba SC itakutana na Eagle FC na Azam FC itacheza na Malimao FC Mechi zitaanza kuchezwa Disemba 9-11, 2022