Dube na ndoa ya Wananchi

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
48
7
5
Yanga kumsajili Dube wamechemka kabisa.Mchezaji yupo hapa kwa misimu mitatu afu hata hajawa top scorer wa ligi afu mnatambaaaa,,,mmepotea kwa kweli.
 

MR. VIP

Mgeni
May 17, 2024
22
3
5
Dube ilikua ni suala la muda tu ⏱
Mwamba kachemka
Uchezaji na falsafa ya hii timu tofauti na alikotoka.
Yupo wapi skudu aliecheza huko kwao mechi nyingi mchezaji mzuri kaja kwetu kawa garasa!!!
Huku majeruhi usipate uwe kama mayele au KI AZIZ hapo utashainiii