EPL Kuna timu tumezimis Sana unalikumbuka Chama Gani umelimis Kuliona

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
EPL kuna timu tumezimis Sana

Kuna Fulham ya kina Boby Zamora, Dempsey, Sunderland wazee Mech Za Mchan Stadium Of Light,Blackburn kule Spain kuna Derpotivo,The Yellow Submarine, Italia Kuna Wakomboz Wa Ngambo Chievo Veron

Unalikumbuka Chama gani umelimis kuliona ?????

1677143905663.png
 
Last edited:

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Stock city hasa ile ambayo kiungo wake alikua nzonzi oyaa wamba walikua wamepanda hewani hatar full miguvu mipila ni ya juu tu hakuna maswala ya boli litembee
 

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Bolton kuna msimu walisumbua wakaingia mpk big four but hawakucheza CL kwa sababu Chelsea alishinda CL na hakuwa kwenye big four so ikabid acheze km bingwa mtetez ikafanya Bolton kucheza ueropa
 

Happy

Mpiga Chabo
Dec 13, 2022
8
0
0
Portsmouth (pompey) ya akina niko kranjcar lassana diarra, benjani, sulley muntari na diop
 

Ally R

Mgeni
Jan 26, 2023
17
2
5
Stoke city ya kina pennant, Delap, Joel jones, Walters, Etherington

Bolton wanderers ya kina Muamba, Cahill na O'brien, Taylor, Davies

Derby Country ya kina Paul Green, Commons, Barry bannan, rob hulse, Cris porter

Middlesbrough ya Mido, A Johnson,Riggot, Digard, Walker