Erik Ten Hag na wachezaji wa Manchester United wamesikitishwa sana kwa muda alioamua kuutumia Cristiano kwaajili ya mahojiano. Klabu ilifahamu kuhusu mahojiano hayo walipokuwa wakijiandaa kurejea kutoka London baada ya mchezo wa Fulham.
Uongozi na wachezaji hawaelewi kwanini amesema alichosema. Wamesikitishwa sana kwamba amedharau klabu, meneja wake na wachezaji wenzake.
Cristiano Ronaldo aliambiwa Alhamisi kwamba hatokuwa kwenye kikosi kitakachoanza dhidi ya Fulham lakini atakuwa kwenye wachezaji wa akiba. Aliiambia klabu kuwa ni mgonjwa.
Hakuna mtu ndani ya Manchester United ambaye amewahi kumdharau Cristiano Ronaldo - hata baada ya kuomba kuondoka na baada ya kukataa kucheza kama sub dhidi ya Spurs.